Music

ALI KIBA, ROMA, MZEE YUSUF NA ALI CHOKI KUWASHA MOTO DAR LIVE JUMAPILI HII





DIAMOND PLATINUM AINGIA SOUTH AFRICA KWAAJILI YA KAZI MOJA TU>>>>>KUTOA BURUDANI



Diamond akiwa na Wasafi wa SA
Mtu mzima Diamond amedondoka pande za South Africa tayari kwa burudani kali kabisa kwa watanzania waishio pande za Durban na Capetown. Nilivyowasiliana nae dakika 10 zilizopita asubuhi hii ameniambia usiku wa kuamkia leo jumapili alikuwa na show Capetown so baada ya hapo nadhani itakuwa Joburg

 

 

 

 

Vote For Roma - Mathematics


 

 

NEW TRACK: Bonta ft. Farida - MATUSI.

 

 

 

CAPTAIN TUNDA MAN, ANAOMBA KURA YAKO.

Mpigie kura Captain Tunda Man kwenye Kili Music Awards....Tuma neno V2 kwa njia ya sms kwenda namba 15747 au barua pepe ktma@innovexdc.com au www.kilitimetz.com kura yako ndio ushindi wake.

 

DYNA ANAOMBA KURA YAKO.

Habari mpendwa mi Dayna, ili kuniwezesha kuwa mtumbuizaji bora wa kike tuma sms neno A4 kwenda namba 15747. Na ili niwe mwimbaji bora wa kike tuma sms neno D4 kwenda namba 15747 na pia kuufanya Wimbo wa "Nivute kwako" kuwa wimbo bora wa zouk/rhumba tuma sms W3 kwenda 15747 pia unaweza kuvote kupitia www.kilitimetz.com, utafata maelezo ili kura yako ihesabiwe.....Naomba kura yako kwenye kili music awards 2012...support DAYNA!!

DIAMOND PLATINUM ANAOMBA KURA YAKO.


Tuma neno
Kili B1
Kili C2
Kili F3
Kili R1
Kili U1
Kili V3
Kili V4... Na kila moja utume kwenda namba 15747 au kupitia
http://www.kilitime.co.tz kumuzesha diamond kutwaa tunzo hizi za kili music awards..
Asante

SASA UNAWEZA KUCHAT NA PROF JAY KWA SMS MUDA WOWOTE ULE.


To Follow Professor Jay on SMS, Text PROFJ leave the space, Write your name Then send it
to 15678. Updates are FREE.

Ni fan page kwa kutumia sms maana kuna wengine hawana uwezo wa kutumia twitter, BBM au Facebook so hii unaweza ukachat nami moja kwa moja kama tunavyofanya kwenye mitandao mingine!! Ninajua umuhimu wa mashabiki wangu na ninawahitaji sana wote NO MATTER WHAT!! so mwenye swali, maoni , Pongezi au DEAL yeyote inayohusu muziki TUWASILIANE hapa,
ASANTENI sana na NAWAJALI na KUWAPENDA SANA!

No comments:

Post a Comment